Kuhusu Tuzo
ya Mwanamke wa mwaka2019

Kazi maalumu ya Tuzo hii ni kumsaidia mwanamke na kumfanya ajulikane na kazi zake katika jamiiya Zanzibar pia kujulikana kwa wanawake walioshirikina kushinda.ili kuwatia moyo wengine kufanya uongozi katika jamii.kusamabaza habari chanya kuhusu uongozi wa wanawake kwa wananchi kwa ujumlana kumwezesha mwanamke kuongoza.na usawa wa kijinsia ni mzuri kwa wote.

Irmelin and Thecla on Zanzibar, Tanzania
Woman on Zanzibar, Tanzania

Maswali yanayoulizwa mara nyingi

Haya ni maswali yanayoulizwa mara kwa mara kwa mara kuhusiana na tuzo.

Mshindi anachaguliwa na washirika walioingia ubia.

Dhumuni kubwa la mradi huu limuhusiana na lengo namba 5 la Umoja wa Mataifa ili kuwezesha usawa wa kijinsia katika jamii kwa ujumla .Tunatumaini kutengeneza mtazamo chanya wa kazi azifanyazo mwanamke katika jamii.

Zawadi ni shilingi milioni moja za kitanzania. Tuzo ni stashahada na njia ya kukupa nafasi ya kujulikana na kukutangaza.

Tuza inatolewa kwa mwanamke mmoja kila mwaka.ikiwa na dhumuni la kusherekea uongozi wake na kutangaza habari ya kwa pamoja ya ushindi na Tuzo na kwanini Tuzo ni ya muhimu.