Mwanamke
wa mwaka
2019

Aisha
Bakary

Aisha Bakary

From the Award Ceremony at African House October 11th 2019

Aisha smiling at the Woman of the Year award ceremony 2019.
Aisha receiving the diploma for Woman of the Year 2019.
Aisha at the Woman of the Year ceremony 2019.
People at the Woman of the Year ceremony 2019.

Mshindi wa 2019
AISHA BAKARY

Aisha Bakary alizaliwa mnamo mwaka 1995 nchini zanzibar.Ana stashahada ya teknolojia ya habari.pia yeye ni Dj tokea 2015.2019 alifanikiwa kufanya biashara aipendayo ya DJ. Leo ndiyo mwanamke wa kwanza kuwa Dj visiwani zanzibar chini ya “The Hijab DJ”. Alichokifanya kinatia moyo na kumfanya awe mshindi wa mwaka 2019.

Soma zaidi kuhusu mshindi wa 2019
Irmelin and Thecla on Zanzibar, Tanzania
Woman on Zanzibar, Tanzania

Nini maana ya
mwanamke mwenye ubaadae?

Mwanamke mwenye ubaadae ni tuzo inayotolewa kila mwaka visiwani Zanzibar.kwa kupigiwa kura na mshindi anachaguliwa kisheria.ni kwaajili ya mwanamke aliyefanya kitu cha kipekee ambacho kinawatia moyo wanawake wengine visiwani Zanzibar.

Soma zaidi

Nini maana ya
mwanamke wa mwaka?

Tuzo ya mwanamke wa mwaka ni kwaajili ya kumtambulisha mwanamke aliyeongoza kwa njia moja au nyingine katika jamii yake,maendeleo ya kibiashara, uongozi, ujasiriamali, au kuiongoza jamii.mwenye kitu cha tofauti cha kutia moyo wengine na kuwa mwanamke wa mfano.

Soma zaidi
Lilian on Zanzibar, Tanzania
Willhelmina on Zanzibar, Tanzania